Show simple item record

dc.contributor.authorAkaka, Lina
dc.contributor.authorMaithya, Jane
dc.date.accessioned2025-06-16T06:51:11Z
dc.date.available2025-06-16T06:51:11Z
dc.date.issued2025
dc.identifier.citationAkaka, L., & Maithya, J. (2025). Uwingi-taaluma wa bembelezi za waswahili. Editon consortium journal of Eastern Africa journal of Kiswahili, 4(1), 1-10. https://doi.org/10.51317/eajk.v4i1.737en_US
dc.identifier.issn2958-1036
dc.identifier.urihttps://doi.org/10.51317/eajk.v4i1.737
dc.identifier.urihttp://repository.mut.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/6555
dc.description.abstractDhana ya uwingi-taaluma ina maana ya kuunganisha au kuhusisha ujuzi anuwai wa kitaaluma katika mtazamo wa mada au tatizo. Mkabala wa uwingi-taaluma hulenga kueleza tatizo nje ya mipaka ya kawaida kwa kuungwa mkono na mikabala tofauti kutoka taaluma mbalimbali na kufikia suluhu zilizo na misingi yake katika uelewa wa hali changamano (Koski na Savolainen, 2016). Bembelezi za Waswahili zinaakisi uchangamano huo; kwamba zinaonekana kuwa na majukumu anuwai katika jamii. Majukumu kama vile ya utakasaji hisia, mawasiliano, uelimishaji halikadhalika uadilishaji. Majukumu haya ndio yanayoibua hisia kwamba zina uwingi-taaluma na hivyo kuwavutia watafiti kuchunguza taaluma mbalimbali zilizomo. Utafiti uliongozwa na nadharia ya uwingi-taaluma kwa mujibu wa Al-Saleem (2018). Data za bembelezi za Waswahili zilikusanywa katika Kisiwa Faza. Washiriki 11 wa kike wenye umri kati ya miaka 18 na 65 waliteuliwa kwa kuelekezwa na mmoja akateuliwa kimaksudi ili kusailiwa. Vikundi lengwa viwili vya mjadala, kila kimoja kikiwa na wasailiwa sita viliundwa kwa misingi ya umri, na data ya bembelezi 20 ikakusanywa kutokana na vikundi hivyo. Hatimaye bembelezi 10 ziliteuliwa kimaksudi ili kuchunguza uwingi taaluma uliomo. Data zilichanganuliwa kimaelezo. Matokeo ya utafiti yalionyesha dhahiri kwamba bembelezi zina uwingi-taaluma na hutumiwa katika miktadha ya shule, nyumbani, matibabu na mingineyo. Utafiti huu unatoa mchango wa kiusomi kwa watafiti wajao wa fasihi simulizi, wataalamu wa masuala ya elimu, wahudumu wa afya, wanasaikolojia na wanataaluma wengineo hususan wa taaluma zilizoshughulikiwa katika makala haya.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherEastern Africa Journal of Kiswahilien_US
dc.subjectBembelezi, mlezi, tamaduni, uwingi-taaluma, waswahilien_US
dc.titleUWINGI-TAALUMA WA BEMBELEZI ZA WASWAHILIen_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record