Show simple item record

dc.contributor.authorMaithya, Jane
dc.contributor.authorNabea, Wendo
dc.date.accessioned2025-06-16T06:40:40Z
dc.date.available2025-06-16T06:40:40Z
dc.date.issued2023
dc.identifier.citationMaithya, K.., & Nabea, W. (2023). Uchunguzi wa Kiaktantia wa Matangzo ya Biashara ya Kampuni ya Safaricom. Taaluma. Jarida la Chakita. 1 (1), 39-44. ISSN 2789-9409.en_US
dc.identifier.issn2789-9409.
dc.identifier.urihttp://repository.mut.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/6554
dc.description.abstractUchanganuzi wa matangazo ya biashara umefanywa kwa kina. Baadhi ya wataalamu wamechunguza lugha na ishara mbalimbali wakiongozwa na Nadharia za Kisemiotiki. Makala hii inachukua mkondo tofauti kwa kuchanganua matangazo ya biashara ya Kampuni ya Safaricom kwa kuongozwa na mtazamo wa aktantia ulioasisiwa na Algirdas Julien Greimas mnamo mwaka wa 1966. Mtazamo huo umetumiwa kuchanganua hadithi mbalimbali zinazohusisha usimulizi kwa nia ya kubainisha majukumu mbalimbali yanayotekelezwa na wahusika katika hadithi hizo. Watafiti walichambua video tatu za matangazo ya biashara ya Kampuni ya Safaricom zilizopakuliwa kutoka katika mtandao wa YouTube. Makala hii inadhihirisha kuwa matangazo ya Safaricom aina ya video hudhihirisha ngazi sita za kiaktantia zinazoelezwa na Greimas katika mtazamo wake. Utafiti huu unaongezea maarifa mapya katika uchambuzi wa matangazo ya biashara.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherTaaluma. Jarida la Chakita.en_US
dc.subjectAktania, Matangazo ya Biashara, Safaricomen_US
dc.titleUchunguzi wa Kiaktantia wa Matangazo ya Biashara ya Kampuni ya Safaricomen_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record