Show simple item record

dc.contributor.authorMaithya, Jane K.
dc.date.accessioned2024-02-27T12:48:04Z
dc.date.available2024-02-27T12:48:04Z
dc.date.issued2022-08
dc.identifier.citationEastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK) 4(1)en_US
dc.identifier.issn2958-1036]
dc.identifier.urihttps://www.researchgate.net/publication/364542260_Uhalisia_katika_mashairi_ya_Kezilahabi_Dhifa
dc.identifier.urihttps://doi.org/10.51317/eajk.v4i1.183
dc.identifier.urihttp://repository.mut.ac.ke:8080/xmlui/handle/123456789/6422
dc.identifier.urihttps://journals.editononline.com/index.php/eajk/article/view/183
dc.description.abstractFasihi ni kioo cha maisha. Humulika jinsi jamii ilivyo kwa kuangazia masuala mbalimbali yanayoikumba. Waandishi wa kazi za fasihi huchota maudhui yao kutokana na matukio mbalimbali yanayoikumba jamii, nia yao ikiwa ni kuielimisha, kuiadilisha na kubeza maovu yanayotendeka. Makala hii inaangazia uhalisia katika mashairi ya Diwani ya Dhifa iliyoandikwa na Euphrase Kezilahabi (2008). Kupitia kwa mashairi yake, Kezilahabi ameichora hali halisi iliyopo katika mataifa mengi ya Afrika kwa kumulika matatizo mbalimbali yanayoyakumba. Anaupitisha ujumbe wake kwa kutoa taswira nzito zinazoundwa kutokana na matumizi ya tamathali mbalimbali za usemi ambazo zinaacha athari kubwa kwa wasomaji na kuwachochea kupata ari ya kupigania haki za wanyoge. Utafiti huu unaongozwa na nadharia ya uhalisia, ambayo kulingana na Wamitila 2002, iliwekewa msingi na mwanafalsafa Hegel katika kitabu chake kinachojulikana kama Aesthetik. Utafiti unawawezesha wanajamii hasa kutoka mataifa ya Kiafrika kuyabaini matatizo mbalimbali wanayokumbana nayo na jinsi ya kujinasua kutokana na minyororo ya umaskini.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherEastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK)en_US
dc.subjectUhalisia, tashihisi, tamathali za usemi.en_US
dc.titleUhalisia katika mashairi ya Kezilahabi (Dhifa)en_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record