Now showing items 1-2 of 2

    • Uchanganuzi wa Ishara za Kisemiotiki zinazotumiwa katika Matangazo ya Biashara ya Kampuni ya Safaricom 

      Maithya, Jane K.; Nabea, W.; Onyango, J. O. (Mwanga wa Lugha, 2020)
      Maendeleo ya teknolojia yamebadilisha sura ya matangazo ya biashara hasa kupitia kwa vyombo vya habari. Makala haya yanaangazia jinsi matangazo hutumia lugha pamoja na ishara za kisemiotiki ili kuwashawishi watazamaji ...
    • Uhalisia katika mashairi ya Kezilahabi (Dhifa) 

      Maithya, Jane K. (Eastern Africa Journal of Kiswahili (EAJK), 2022-08)
      Fasihi ni kioo cha maisha. Humulika jinsi jamii ilivyo kwa kuangazia masuala mbalimbali yanayoikumba. Waandishi wa kazi za fasihi huchota maudhui yao kutokana na matukio mbalimbali yanayoikumba jamii, nia yao ikiwa ni ...